Recent content by mchai

  1. mchai

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina bahati ya kuitwa kwenye usaili ila sipati kazi

    Hukutumia japo takrima sure? Hongera saana na nashukuru kwa kunipa moyo.
  2. mchai

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina bahati ya kuitwa kwenye usaili ila sipati kazi

    Ahsante kwa ushauri
  3. mchai

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina bahati ya kuitwa kwenye usaili ila sipati kazi

    Hili la kipato cha ziada ndio linaniingiaga saana akili wako na dhamira iyoo saana na nitaendelea kumuomba mungu inshallah
  4. mchai

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina bahati ya kuitwa kwenye usaili ila sipati kazi

    Thank you brother
  5. mchai

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina bahati ya kuitwa kwenye usaili ila sipati kazi

    Nashuku saaana tena saaana kwa ushauri wako mkuu naiman nitaufanyia kazi kuanzia ivi sasa na juu yaa kuulizwa katika interview unaswali? Ni kweli nimekutana nalo saana ili swali mwisho wa mahojiano mala ya mwisho nkumbuka ilikua arusha, nikawajibu sina swali.
  6. mchai

    JamiiForums Tanzania Nafasi zaidi ya 1500 za ufundi na uhandisi kwenye kampuni ya El-sewedy Electric inayojenga Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere, Rufiji

    Samahani mkuu naomba kuuliza jinsi ya kutuma kwani ukifika hapa kwenye e_mail page cv na vyeti na barua unatuma attach kwenye subject apa au kwenye compose email hapa, tafadhar naomba muongozo mkuu
  7. mchai

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina bahati ya kuitwa kwenye usaili ila sipati kazi

    Naomba tu ushauri wa bure, huenda ukanipa mwanga. Mie yaani hadi leo hii nina interview more than ten Tanesco na kuna zingine najua kabisa hizi nimejibu well ila sijawahi hata kukosewa kuitwa kua nimepata na sifa wanazozitakaga nakuwa nazo. Ninaabahati ya kuitwa kwa usaili ila kupata kazi sasa...
Back
Top Bottom