Wakuu poleni na majukumu....
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2018 na nilifanikiwa kupata cheti japo kwa sasa najiendeleza kwa kufanya mitihani ya Bodi ya Wahasibu(CPA- Certified Public Accountant) Nilikuwa naomba ajira yoyote ile maana maisha yamekuwa magumu mtaani.
Nina uzoefu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.