Hiyo hela ambayo unaniambia nitafute ni shilingi ngapi mkuu?
Nikushauri tu wewe ndo utafute pesa kama Ubisha Leta Bank Statement hapa yako na mimi nilete yangu afu tunaone nani anatakiwa kumwambia mwenzake atafute hela
DATING RULE 01.
Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja.
Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa.
DATING RULE NUMBER 02.
Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa,
Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA"
Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu
Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
Manzi akikuheshimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.