Mkuu umefika unaweza ukaelezea umetapeliwa kitu gani na kampuni yetu .??
AU una ushahidi na je umeenda sehemu husika kuripoti utapeli wa kampuni hii ??
Tafadhali sana kabla ya kusema jambo jaribu kuwa na busara hata kidogo.
KARIBU SANA OFFISINI KWETU AU TUPIGIE SIMU IKIWA UNA JAMBO LA KUULIZA ...
karibu sana mkuu , unaweza kututembelea wakati wowote ,
Sio lazima ununue gari , hata windowshopping imekaa vyema,
Pia tuna gari za kuagiza na pia ambazo zipo Tanzania
karibuni sana wadau wote
KARIBUNI OFFISINI KWETU , LEO NA UAGIZE GARI SAFI KUTOKA JAPAN NA ULAYA
PIA TUNA GARI KATIKA YARD ZETU UNAWEZA KUJA KUCHAGUA UKALIPIA TUKAKUSAJILIA
NA UKAONDOKA NAYO SIKU HIO HIO .
Car Dealership
MOTOR VEHICLE IMPORT COMPANY™
AUCTION DEALER®JAPAN, DUBAI & UK...
HIGH QUALITY, RELIABLE & SPEE
📌OFFICE LOCATION: 5th Floor,
Salamander House-Gsm, Posta
Samora Avenue. Dar Es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.