Recent content by MBYA

  1. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Kilicho shambuliwa ni vinu vya nyuklia na si Uranium,waliruhusiwa kuitoa Uranium na inafahamika ilipo pelekwa na Israel hawana mpango wa kuishambulia maana inaweza kusababisha mionzi yenye sumu kudhuru raia ila Israel haita ruhusu Irani kumiliki Tena vinu vya kinyukilia Hilo zingatia katolewa...
  2. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Sijasema popote ni vita ya kidini ila akili uliyo nayo ni ya madrsa
  3. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Sawa muda utaongea tusiongee sana
  4. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Sawa endelea kuamini hivo tangi Sasa utaanza kuona matokeo ya vita hii Irani hatakuwa na sauti aliyokuwa nayo hapo awali ameahapigwa sindano ya nusu kaputi Tuliwaambia hivyo kipindi Israel na Hezbola wanafanya kusimamisha mapigano tukawambia Hesbolah Hana nguvu Tena mkabisha lkn mmjionea alivyo...
  5. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Sawa naona umehitimu madrasa juzi ila Simba kakamata Gaza Irani akawakomboe si Israel kaisha?mnadanganywa sana huko madrasa eti base zote za Israel zimekwisha nend kawaambie meli zote ndege zote zipo salama na hazina ya makombora yapo salama kutibu waugua mapepo wote watakao taka matibabu Irani...
  6. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Na aliye muulia mradi wa nyuklia aliourinda kwa nguvu zake zote Rising lion
  7. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Hizo ni picha za maghorfa wenzao wanapicha za mahandaki ya nyuklia waliopiga ila wakitaka kupiga za maghorofa zitakuwa nyingi sana Irani hakuna ulinzi wowote kawaambie wanamadrasa wenzio
  8. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Ok kumbe ndo hivyo basi wamefanikiwa sana ila wenzao walilenga kuwanyang'anya nyuklia basi hiyo ilikuwa inaintima Israeli usingizi japo pia Irani wanamisiba mingi ya majenerali wa kuwazika na kumpasha Ayatola habari kuwa Simba kamaliza KAZI yake yupo salama sasa anaweza kutoka shimoni ila...
  9. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Panya hua anamkimbia paka hii mitambo si midogo ni mitambo mikubwa imejengwa kwa makumi ya miaka haihamishwi siku Moja halafu usihau intelijensia ya wazayuni na waamerika IPO juu kama walifahamu chumba alicholala mkuu wa majeshi ya Irani hawawezi shindwa kujua kama mitambo imehamishwa wakati...
  10. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Lengo la Irani ni kuifuta Israeli katika uso wa Dunia kama kweli ananguvu kwanini akubali kisimamamisha vita? Si aendelee kuitokomeza Israeli?Aende na Gaza apeleke misaada wanakufa na njaa ndugu zake, Mwambie Ayatola atoke shimoni Simba amemaliza kazi yake nyulia sites zimefungwa uranium zipo...
  11. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Ironed some imejitahidi sana tuambie Irani kashindwa Nini kulinda nyukilia sites zake? Na kwanini yeye kashindwa kupiga za mazayuni,Allah tunusuru
  12. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Iran Kisha ufyata
  13. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Hapo Simba Isha waramba wameumia vibaya sana
  14. M

    Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Ila ilikuwa nini
Back
Top Bottom