Haya bwana,nalo ni wazo japo hujatumia usemi mzuri kwani sijatafuta kuonewa huruma but nimeeleza hitaji langu.ilitosha tu kunielekeza namna ya kufanya.
Habari za leo wana Jamii Forums,poleni na kazi.
Nina malengo ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku,na kutokana na kuwa na hitaji la mtaji wa kuanzisha mradi huu,nimeona vema niuze CD ya nyimbo za Injili ambayo niliwahi kuirecord.Naomba kwa utakayeweza uniunge mkono kwa kununua copy ya CD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.