Slaa alikuwa Mkuu wa Itifaki wakati wa ujio wa Papa John Paul II, ametaja mafisadi hakuna aliyefungwa mpaka leo na wala yeye kesi zake huwa zinaisha hewani hewani kama zilivyokuwa za Mrema mfano kesi za Arusha. Kwanini wakati wote wa vurugu viongozi hawa ni ama wasiwepo eneo la tukio au wataroke...
Kuna maneno kuwa vyama vya upinzani nchini vilianzishwa na vinaongozwa na watu ambao ni Usalama wa Taifa ili kuwafurahishwa wafadhili na kuwaaminisha kuwa Tanzania kuna demokrasia. Watu wanadai kila Chama cha Upinzani kikikua na kukaribia kuchukua dola basi watu hawa wa Usalama wa Taifa ambao...
Habari za kuaminika ni kuwa Mh. Zitto ataanza ziara za mikoani kuzungumza na Wananchi juu ya changamoto alizonazo ndani ya Chama kwa sasa pamoja na yaliyojiri katika Kamati Kuu na Mahakamani na kuhusu umuhimu wa Demokrasia ndani ya vyama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.