Recent content by mbuwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha:Mkutano wa Slaa Alabama aibu tupu,10 wajitokeza kusikiliza mazungumzo yake

    Taswira Mji wa Alabama ndio upii?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete azuru Jimbo la Nebraska, Marekani - Atumia Private Jet!

    This thread imekaa kifitina zaidi. Bila kujua kama Gulfstream ilikodiwa na nani ni unafiki na chuki binafsi. Be a great thinker before dropping accusations. The invitation could have easily came along with transportation and accommodation. Without facts kuwa ccm, or sirikali ya Tanzania paid for...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Walimuuliza "ikulu chai bure bei ya sukari ataijulia wapi? Sasa ndio anajibu niliona hii kwenye bango kule mwanza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Dalili ya mfa maji...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa Mhe. Lema kuhusu Pinda kuongea uongo Bungeni

    Spika alichemka, akataka kuimaliza ki-silensa, baada ya kujua ushahidi uko mitaani ndio imebidi aseme ataileta tena wazi bungeni. Cha muhimu ni kumpatia Mbunge Lema muongozo kama alivyoomba " Waziri Mkuu akidanganya bunge kifanyike nini?"
Back
Top Bottom