Habari zenu wakuu, poleni na majukumu.
huu ni ugonjwa gani umenipata, ilianza kama siku tatu zilizopita, naona mkono unaniwasha na jana na leo ghafla naona pamekuwa hivi na bado panawasha. Tamuona Doctor lakini kwa sasa nipo eneo ambalo hakuna daktari, angalau paache kuwasha tu na kuondoa hivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.