Wandugu ushauri please nataka kufanya biashara ya wine kama Dompo, Bihawana, Image, Dodoma wine, Hombolo nk kutoka Dodoma na kupeleka mikoani kama Mbeya, Songea nk nimepeleleza soko la huko kwa bei ya jumla wananunua na wanahitaji kwa sh 10,000/= na huku kiwandani wanauza wastani wa sh 7,500...