Recent content by Mbuliyapa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Wanajamii hiyo CV ni ya uongo tena sana Mie nimesoma Nsumba miaka hiyo na Sikumfahamu, pia kama nikweli atwambie moto wa Nsumba ulisemaje miaka hiyo na head master alikuwa ni nani.? Pia Butimba TTC hakukuwa na Advanced level bali ni chuo cha ualimu ngazi ya cheti na diploma,Jamani mie kwa hiyo...
Back
Top Bottom