Habarini, wanaJamii,
Mimi ni msichana umri 28_30, ni mkristo, nina elimu ya Chuo kikuu, nina tafuta mume mkristo mwenye hali kam yangu, awe na miaka kati ya 30_40.
MWENYE SIFA ZIFUATAZO:
Awe ana kazi ya kumuingizia kipato, awe mrefu maji ya kunde, awe mkristo, awe tayari kufunga ndoa takatifu...