Acha kujifanya unajua kubadili mada, hii ni akili ya mbuni kuficha kichwa ktk mchanga ili hali mwili wote uko nje.
Ameeleza hili kujibu ninyi wajinga ambao mmekuwa mkipumbazwa kuwa Lissu aliomba hisani ya kurejea na kulipwa mafao, bali alijua kuwa ni haki yake kurudi nchini kwake na ni haki...
Hata kabla ya okt 29 mlikuwa mnatishia hivi hivi ila kilichotokea hamkuamini na ninyi ndiyo washauri wa ujinga kama huu.
Kwa hakika kama huu ushauri wako wa kijinga ikifuatwa (na hauwezi kufuatwa) zaidi ya yale ya awali tuyatarajie.
Usijidanganye kuwa eti yale mauaji yamewafanya waandamanaji...
Usitake nchi isambaratike! usione huu utulivu kidogo wa muda ukadhani kwamba wananchi wameogopa mauaji ya okt 29 kuandamana ni mkakati wa kuidhihitishia dunia na kuwapa nafasi serikali kujirekebisha.
Ila nikuhakikishie hili unalosema likifuatwa nchi itashuhudia zaidi ya okt 29.
Acha hasira hata kama "imepenya" Uamuzi utoke usitoke TAL atarudi uraiani very soon kuanzia sasa.
Lililo zuri kwa wananchi TAL ameweza kuithibitishia dunia na wananchi namna CCM inavyogandamiza haki, demokrasia na hata katiba hii japo ni mbovu.
Kauli tu ya kabla ya tukio la Oktoba 29 haiwezi kuwa na nguvu lakini pia haiwezi kuunganishwa na tukio la Oktoba 29, ndiyo maana hata ushahidi mpya dhidi ya Lissu ulikataliwa kupokelewa na mahakama.
Labda tu kushinikizwe kuwa ana kesi ya kujibu ila si kwa uzito wa kauli hiyo.
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na ili isionekane kuwa serikali alimbambikia kesi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo DPP ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja kubwa wahafidhina kuwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi...
Kwa maana hiyo unataka kutuaminisha kwamba ni kweli hata wale askari waliokuwa wanalandalanda ktk mitaa na kuua waliopo nyumbani walikuwa wanalipa kisasi cha wanzanzibar waliouawa 2001? Vipi kumbe watu wanaposema wanzanzibar wanawaua watanganyika wako sahihi! na hauoni kuwa unahalalisha ile hoja...
Na siyo shahidi wa 18 pekee, mawakili wa serikali waliahidi kuja na mashahidi wote waliobaki. Ngoja tuone kama watatekeleza ahadi yao hiyo. Kama ndivyo leo itakuwa ndiyo mwanzo wa mwisho wa Kesi.
Tayari tume imeshapoteza kuaminika kwa sababu imeamrishwa kuacha kufanya uchunguzi kwa WALIOUA hoja inayokubalika kwa wananchi wengi.
Kwa vyovyote itakavyotoa matokeo yatakuwa ya upande mmoja ambayo yataukuza mgogoro na pengine chuki kuongezeka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.