Habar wana JF.
Ni matumaini yangu yu wazima japo si wote, tulioamka hivyo ila nia na madhumuni ya kushusha kamba hii inasikitisha kuona LUNDO la vijana mtaani hawana kazi je! Nikweli hawapendi kufanya kazi? Au kazi za kufanya hakuna?
Kinachosikitisha zaid kila mwaka vijana wanahitimu masomo...
Wakuu, nimehitim 4m four kitambo kdogo nikaingia VETA.
Nnina certificate ya Graphics designer but nimemaliza nikatarajia kutakua na ajira nje nje!
Duh! Balaa nimesota street mpaka basi yeyote anaejua panapo kazi au vibarua vya muda mrefu tujuzane tusongeshe maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.