Recent content by Mbochong'a

  1. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaah!!! Mkuu we acha tu. Mpaka kuja kumpiga Tena Kanji sijui ni lini. Maana hapo hata 2k tu ningepata 5M. Sema ndio hivyo Huwa tunaweka matreni kujaribu maana rate ya kuchana ni kubwa.
  2. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mkeka wa first half corners nili cash out mapema... Mechi moja tu ilizingua. Code niliitoa code hub.
  3. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ulichukuwa code ya Gwisa punter nini? Maana niliona last ake 17M akachaniwa na huyo huyo Brann
  4. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂😂😂 Pipa muongo sana usimtilie maanani.
  5. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu Betfuse mganga wake ni hatari sana. 125M mara mbili ndani ya siku mbili!!! Daaah! 😇😇
  6. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu jamaa ataifunga hii kampuni. Maana anastake 10M kwa odds mbili. Possibility ya kula ni kubwa sana. Jamaa ni tajiri ana download tu pesa duuh!
  7. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba nielekezwe kwa nini nimelost hapo?
  8. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    C40F9CC Sportybet 10+ odds
  9. Mbochong'a

    Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

    Mimi nitaacha kubeti nikishinda 90M. Hakuna kazi isiyokuwa na changamoto. Hata mkiwa mnfanya kazi bank na wote mkawa mnapata mshahara mmoja, lakini kuna mmoja au wawili atakuwa vizuri kimaisha. Atakuwa na nyumba zaidi ya hata 3 magari n.k Hapa tunaenda kwenye kitu kinachoitwa commitment na...
  10. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kisimbuzi cha Azam kwa nini hakionyeshi Euro 2024??
  11. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu wakati unamjibu mtu uwe unatumia akili, busara na lugha nzuri. Kumbuka hii thread ina ma'legends na wageni, sio kila mtu ni mtaalamu wa kubeti, wengine ndio wanaanza. Wewe hujawahi kuona mtu anauliza handcap ndio nini!!?? Tuendelee kuelimishana kiustaarabu kwa sababu kila kizazi kinaingia...
  12. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaaah!!! Yaani nilikuwa nimeshapiga hesabu za kesho kula supu ya kuku wa kienyeji na chapati mbili nikishushia na pepsi baridiii daaah!! Kamari ni konyo
  13. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu Man U na Lyon watapata magoli kweli? Watoe GG tupate hela ya bia
  14. Mbochong'a

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utashangaa Marseille na Lens wanatoka nyau nyau😁😁😁
Back
Top Bottom