Habarini za asubuhi wanajamvi . mimi ni kijana mwenye miaka 26 nimepata kazi ya uwalimu katika shule moja hapo mjini Dodoma ila msharaha wangu ni mduchu sana. Sasa nilikua nataka kujiongeza kufanya shughuri za biashara katika jiji hili na nimepata ugumu kujua biashara gani zinatoka na zinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.