Recent content by mbinu miundombinu

  1. M

    Wakulima wote tafadhali soma hapa

    binafsi nimetumia hii mbolea, kiukweli ipo vizuri sana. niliitumia kwenye mahindi inasaidia sana kwenye ubebagi, mahindi yalikuwa makubwa, pia inasaidia hata mimea iliyokuwa dhaifu au duni kubeba mahindi makubwa. kiukweli imekuwa mkombozi kwangu.
  2. M

    Nahitaji Maharage ya njano mengi

    Habari, bado unahitaji maharage?
  3. M

    Natafuta kamusi ya Lingala-Kiswahili

    mbote na yo? karibu tuongee kilingala na mm najifunza ni lugha nzuri laini pia matamshi yake yanasomeka kama kiswahili kwa mameno mengi,
Back
Top Bottom