Pia,. Sijaweka mabadiliko ya bei Muda Sasa sababu bei haipo stable ,sababu kuu ni mipaka kutokufungwa, so Mazao mengi bei imebakia vilevile na mengine kama Mchele kupanda zaidi,,,,mpunga shambani kwa Sasa ni sh elfu themanini mpaka Laki na Bado haupatikani, maindi Debe kumi na nne, mjini ,shamba...