Recent content by Mbeya Kiuenyeji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku Jogoo aina ya Kuroiler

    Hongera kwa kuongeza siku
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku Jogoo aina ya Kuroiler

    Sawa, ushauri wako nitaufanyia kazi. Asante
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku Jogoo aina ya Kuroiler

    Napatikana Igurusi, Mbeya. Unaweza kununua pungufu, ila wakichukuliwa wote kwa pamoja itapendeza. Kama upo Mbeya mjini, na ukachukua zaidi ya kuku 10, nakuletea hadi ulipo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku Jogoo aina ya Kuroiler

    Kupata pesa pia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku Jogoo aina ya Kuroiler

    Habari, Nawauza kuku jogoo aina ya kuroler (47) kwa bei ya 15,000/= nawauza wote kwa pamoja. Sababu ya kuu ni kupunguza jogoo ili niwe na ratio nzuri ya jogoo na tetea. Mahali walipo ni Mbeya Tanzania. Karibuni sana. NB: Nawauza wote kwa pamoja.
Back
Top Bottom