Recent content by mberbron

  1. M

    GE2025 Video: Rais Samia Akiondoka Ukumbini Kuwapisha Wajumbe Wafanye Yao. Aliyedai Rais Hakutimiza jambo Hilo Alikuwa na lengo la Kupotosha

    wataumia sana na kwa vile hawafuatilii matukio ya nini kilifanyika na hatua gani zilipitiwa . acha waisome namba .
  2. M

    GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

    inawezekana hujui hata kusoma hata mstaari mmoja wa Katiba yaani upo upo tu kama bendera fuata upepo. what is your content
  3. M

    Polepole: Agenda ya uteuzi wa Samia ni Res Judicata kwa sasa

    Res Judicata imeeleweka kikamilifu. polepole na kikundi chake cha kuendeleza hila walizotaka Mama yetu Mh. Rais SSH asiapishwe kuwa Rais hawatafanikiwa na wataaibika na kufadhaika kunako Oktoba 2025.
  4. M

    GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

    Hawawezi kuwataja na hawapo ila kinachowasubua ni wivu na hila zilizowafanya kudhubutu kujaribu kuipindisha katiba ya nchi ili tu Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan (Rais) asiapishwe kuwa Rais wa Tanzania jambo ambalo mkuu wa majeshi mzalendo kupindukia - CDF V.S. Mabeyo (Mstaafu) hakutaka kumumunya...
  5. M

    Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

    kamwe tusikubali kulaghaiwa na kikundi ambacho kilitaka kuvunja katiba ili kuzuia makamo wa Rais Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan asiapishwe kuwa Rais mara baada ya kifo cha Rais Magufuli. watu hao tuwatenge na kuendelea kuwapuuza milele daima. watanzania tulimlinda, tunamlinda na tutamlinda Rais...
Back
Top Bottom