siku atakapotambua magufuli nadhan atairejesha shule hii serikalin ,maana ina mandhari yake ni nzuri sana.Nasikia wanapga madili pale kama shamba la babu
CCM (M/KITI CHAMA,NA M/JUMUIYA YA WAZAZI.), angalie shule yenu ya Minja tech na secondary itakufa ,mliyempa shule hii sidhan kama ni mtu sahihi,jaribun kujiuliza maswal machache yatakayowasaidia kujua ukwel...kabla hamja mpa hiyo shule alitokea shule gan?,Aliiacha katika hali gan hiyo...
CCM Kagueni Miradi yenu ya shule ikiwemo Minja Tech
#1
CCM (M/KITI CHAMA,NA M/JUMUIYA YA WAZAZI.), angalie shule yenu ya Minja tech na secondary itakufa ,mliyempa shule hii sidhan kama ni mtu sahihi,jaribun kujiuliza kabla hamja mpa hiyo shule alitokea shule gan?,Aliiacha katika hali gan,?Kibo...
CCM (M/KITI CHAMA,NA M/JUMUIYA YA WAZAZI.), angalie shule yenu ya Minja tech na secondary itakufa ,mliyempa shule hii sidhan kama ni mtu sahihi,jaribun kujiuliza kabla hamja mpa hiyo shule alitokea shule gan?,Aliiacha katika hali gan,?Kibo secondary school inahali gan baada ya kumpa aisimamie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.