Sio mafundi tu, hata baadhi ya wauzaji wa mbao wana tabia zisizofaa. Ni bora kuwaanika na kushauriana juu ya kukabiliana nao.
Mfano wengi wanaiba idadi na sizes za mbao kwa kumlaghai mteja. Haipendezi.
Sisi tunajitahidi kufanya biashara kwa weledi na uwazi. Tunaruhusu mteja kuja na fundi wake...
Ni kweli kabisa. Kwa bahati mbaya watu wengi huchukua mafundi wa mtaani kwa sababu ya unafuu wa gharama. Mafundi wa mtaani hawafanyi kazi kwa miiko wala taaluma. Hayo hayaepukiki.
Hongera sana mkuu. Umejitahidi mno.
Sawa ukiwa tayari wasiliana nasi tukuuzie mbao, tutakusafirishia mzigo wako hadi site BURE kama upo ndani ya Dar es Salaam.
Jenga Nasi. Mbao Tanzania.
Umefikia wapi kwenye ujenzi?
Wikiendi imefika na mzigo wa Mbao upo wa kutosha. Tazama mifano ya shughuli za ujenzi zinavyoendelea site kwa mbao imara.
Wasiliana nasi kwa mahitaji ya mbao size zote.
Simu: 0782425190.
Tofauti na wauzaji wa mbao wengine ambao wao huzipaka dawa ili kuzuia kuliwa na wadudu, mbao zetu hatuzipaki dawa yoyote bali TUNAZICHEMSHA kabisa na dawa. Mbao zikipakwa dawa bado zinakuwa haziko salama dhidi ya wadudu kwa sababu dawa huishia juu juu tu, lakini zikichemshwa dawa inapenya hadi...
Hahaha, mzee Mgaya kama uyasemayo ni kweli basi tutumie uthibitisho PM kisha tutakuja na uzi mahsusi wa kutambua wateja wetu ambao si watu maarufu katika jamii.
Kwa maneno mengine, tunawahitaji wote katika kuwaaminisha wenye mashaka kuhusu ubora wa huduma zetu lakini pia kuwapa hamasa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.