Hebu hacheni kutetea mambo yasiyo na msingi, kinachofanyika sio haki watu wanateseka hawana maji salama chakula tabu wewe unatetea bila haya! Sio kukaa mijini unaona kila kitu kipo, nenda vijijini uone maisha yalivo hizo gharama si wapeleke kuwasaidi hao watu? wamepandisha umeme wakidai shirika...

Kilichokuwa kinaongelewa toka zamani kuwa kiongozi wa juu wa CHADEMA lazima atokee kaskazin mwa Tanzania ndo kinaonekana. Mtei nani kutoa kauli kama hii wakati wanachama ndo tunaotoa michango ya kuendesha chama Mtei hana chake yeye ni mzee wa hama tu afunge mdomo wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.