Recent content by mazuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Operationa Officer TPA

    M mm nimeshangaa kutoka 50 hapo adi 38 kweli hamna hata 42 -50??duh
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi TRA

    sio kwa nn unatumia codr ambayo ulishawah kuitumia,swala ni kwamba kama ulishawah kuomba kaz tra unapewa ref no.ambayo ukiona tangazo lao unakua tu una update to taarifa zao,ninachoshangaa kwamba kwa nn azitoi. option ya kuchagua nafas unayoitaka???
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi TRA

    jmn na mm pia naambiwa ivo ivo,sasa je hiz ref no. hua zinaexpaya Au?pls msaada maana deadlinee ndo iyoooo wadau
  4. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Biashara, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma

    thnx !!!naisi nimepata mwangaza nianzie wap wapendwa!!mbarikiwe sanaaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Biashara, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma

    kwel jmn msaada kwa ambaye alishawah fanya intetview kwa post hii jmn?maswal yake hua yanakuaje pls
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uombaji ajira Utumishi kwa njia ya online

    jmn na mm nilikua naomba mnielekeze kuhusu kuaply online !!mana mi sijui,nimecheki apa sijaona.
  7. M

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    mleta mada apo kwenye picha wanataka tatu na sio mbili!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mitihani ya Bodi ya Procurement, Morogoro

    habar zenu wana jm.Samahan nilikua naomba kuuliza centre ya mitihan ya bodi ya procurement moro, inapatikana sehemu gan?mana mi nimetafuta bila mafanikio,naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu pls .
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea Morogoro mjini

    Samahan! naomba unielekeze kupm! mana hua sielew wanapm Vp ili nikupm, Bt email yangu ni jeyisdory@gmail.com
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea Morogoro mjini

    nilishaenda nikajaribu wakasema wao kaz zao nizamsimu ko haiwezekan
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea Morogoro mjini

    mm ni ke!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea Morogoro mjini

    Apana! nimesema morogoro mjini.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea Morogoro mjini

    Jamani wana JF! Mimi nimemaliza BBA , natafuta nafas ya kujitolea Mahal popote bila malipo, ili niwe na experience! Pls naomba mnisaidie.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Office Manager wanted - Lady

    jeyisdory@gmail.com
  15. M

    JamiiForums Tanzania Office Manager wanted - Lady

    jeyisdory@gmail.com
Back
Top Bottom