Umekosea hapo,
maintanance fees ni tsh 1,000 per month,
withdraw charges kwenye ATM ni sh 600, over the counter ni sh 1000
Visa withdraw charges niincase ukiwithdraw kwenye ATM ambayo sio ya CRDB ndo utakatwa sh 2000:A S angry:
Pole sana, but those are normal fees
Card fees huwa ni shilingi 4000 semi annualy, i mean per year utakatwa card fees tsh 8000, na huwa hizo fees zinapita mwezi wa saba na mwishoni mwa december au january mwanzoni. Kama ulikatwa card fees mara mbili inawezekana kabisa either ulirenew card alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.