ATM ina unafuu sana!!!na charges zake ni ndogo kuliko kwa wakala na hawa mawakala wako kwa ajili ya kusaidia Huduma kwa haraka has a sehemu ambazo benki hamna au ziko mbali nawafananisha na Mobile banking kwa hiyo lazima kuna charges kubwapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.