Recent content by Mayame

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mama Hawa Ngulume afariki dunia!

    Nakumbuka sana kipindi kile pale magomeni, tulimfungia hadi mlango baada ya kuleta urasimu uliotuudhi sana by then. Lakini yatupasa kusameana kama binadamu kwan mapungufu ni kwa kila mtu. R. I. P MAMA NGURUME
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maige amwita Nape 'Gamba', Nape amjibu...

    Hello to JF Members, MAJIBU YA NAPE KWA HOJA HII Nimefanya uchambuzi wa maelezo yaliyotolewa na Mhe. Maige sambamba na majibu ya Mhe. Nape na kubaini kuwa ni sawa na ngoma za jadi ambazo kila mtu hutaka kushinda. Inajulikana tangu awali kuwa Nape amepewa nafasi ya Ukatibu Mwenezi, kazi ambayo...
Back
Top Bottom