Recent content by Maxing maxed

  1. M

    SoC03 Huduma mitandao ya Serikali sio Timilivu

    Ndio nenda tovuti ya Posta ujionee
  2. M

    SoC03 Huduma mitandao ya Serikali sio Timilivu

    Unaona kuna siku mtu alikosea kulipia moja ya huduma za NECTA na laki moja ikawa imeenda ivo
  3. M

    SoC03 Huduma mitandao ya Serikali sio Timilivu

    Je, ulishawahi kutembelea tovuti gani ya taasisi ya kiserikali?Ni kweli kuna watu wako nyuma ya mifumo hiyo na wajibu wao ni kutufikishia huduma nzuri ya mtandaoni. Inasikitisha wakati ambapo dunia inaendeshwa kwa njia za kisasa za mtandaoni lakini Platforms zilizo chini ya Serikali hazitoi...
  4. M

    SoC01 Ushauri: Kupunguza miaka ambayo Wanafunzi hutumia katika masomo ili kukuza Uchumi

    Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia katika masomo. Kwa mwanafunzi kufikia chuo kikuu mwaka wa tatu itakuwa imemchukua zaidi ya miaka 15...
Back
Top Bottom