Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Tandabui Polytechnic Institute, Mwanza. Sisi wafanyakazi, wakiwemo wakufunzi (tutors) na watumishi wengine, hatujalipwa mishahara kwa miezi mitatu sasa, huku tukiwa tunaelekea mwezi wa nne.
Tumekuwa tukiulizia mishahara yetu kwa viongozi wa chuo pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.