Hii imekuwa kero Kwa watumiaji wa barabara itokayo muhukuru getini kuelekea masekesa Kwani tangu mwezi May barabara hii imekuwa kero Kwa watumiaji kwani caravat imetoboka katikati ya mamlaka zipo kimya na zinapuuza kutatua kero hii, Hili n tatizo kubwa sana Kwani mda wowote inaeza ikasababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.