Recent content by Mawe matatu

  1. M

    Klabu ya Simba Sc yamfuta kazi Meneja Dimitar Pantev. Matola akabidhiwa jahazi

    Pantev katolewa mbuzi wa kafara,,shida iko kwa viongozi wanapigana shoti,,pantev ndio alikuwa anakosa magoli uwanjani? Alafu matola amekuwa ndio alfa na omega pale anawapiga majungu wenzake yeye anaendelea kupeta tu🤣🤣 Je viongozi wa simba washaelewana ili wapate matokeo chanya? Bila ivyo simba...
  2. M

    Ahmed Ally: Kuna timu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake nyie chunguzeni

    Nimemnukuu msemaji wa simba ambaye uwa namuweka kwenye kundi la comedian aliwai kusema Kuna katimu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake! Maneno hayo alikuwa anailenga yanga kabla michuano ya kimataifa aijaanza sasa naona simba ndio imekuwa inagawa vizuri utamu kotekote iwe nyumbani...
  3. M

    Kama viongozi hawamtaki Mo basi wamfukuze tu. Kutuletea kocha wa ovyo na kumpangia kikosi sio

    Msemaji wenu yule comedy Ahmed Ally alikaririwa akisema Kuna katimu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake sasa yamemrudia kudadadeki
  4. M

    Kama viongozi hawamtaki Mo basi wamfukuze tu. Kutuletea kocha wa ovyo na kumpangia kikosi sio

    Msemaji wenu yule comedy Ahmed Ally alikaririwa akisema Kuna katimu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake sasa yamemrudia kudadadeki
  5. M

    Yanga Africa Yanga umoja wa mataifa, Africa inawategemea na taifa linawategemea

    Mwenye macho aambiwi tizama, na mwenye masikio anasikia, hivyo ndivyo unavyoweza kusema juu ya mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania Yanga! Siku zote form uwa inakuja na kupotea lakini class uwa aipotei Abadan,, Yanga kaonyesha kwa vitendo baada ya kupitia changamoto kidogo na sasa wanarudi...
Back
Top Bottom