Recent content by mawazo84

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Wakuu habarini za uzima? Naombeni mawazo yenu kuhusu makadirio ya kuezeka (nimeattach roof plan yangu). 1. Kadirio la idadi ya bati (IT 28G)/ gharama yake. 2. Kadirio la idadi za mbao/ gharama yake. Nahitaji kulinganisha na makadirio ntayopata toka kwa fundi. Shukrani!
Back
Top Bottom