Recent content by Mawardat

  1. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Kwa mliopo katikati ya miji na viunga vyake sana sana DAR, MORO na DODOMA kwa mbali fanyeni aka kautafiti mtaona

    Location,sema wabongo wengi wanafungua biashara Kwa kuiga.
  2. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Hiki kikombe kina umri wa miaka 20+

    💃,nakuita.
  3. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Hiki kikombe kina umri wa miaka 20+

    Naja kunywa mtindi💃
  4. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Hiki kikombe kina umri wa miaka 20+

    Kiko hapana🙌,mie mashamba na vikombe.
  5. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Hiki kikombe kina umri wa miaka 20+

    Nakiomba,nirithi kabla haujafa.
  6. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sawa,kama unapenda vitunguu swaumu,sagia punje 2 vile unavyochemsha viazi,
  7. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Eeh,yaani visiwe vilaini, na ngano korogea yai hili tonge ukiweka kwenye mafuta isivurugike.
  8. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Yaani,viie lkn sio sana,na maji pia usiweke mengi, maana ukiviokoa unaviponda visiwe na mabuja,unavisonga kama ugali,
  9. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Aisee pole,jaribu tena kupika kachori,kama mie mara ya kwanza kupika sikuambulia hata Moja😁, Viazi viliiva sana yaani kuviliga ilikuwa KAZI, na hile ngano sikuweka yai,yaani vilivurugika kwenye mafuta hata kula halifai.
  10. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sijui hata bei Tz ni kiasi gani.
  11. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Aisee mkono wangu sipendezi nilivaa saa😁
  12. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kuona saa kama hiyo.
  13. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sijawahi😜
  14. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

  15. Mawardat

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

Back
Top Bottom