Recent content by Maverick tz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Njia gani ya kudhibiti uharibikaji wa mayai pindi kuku anapokuwa anaatamia?

    Napenda kujua namna ambayo mtu anaweza kutumia ili kudhibiti uharibikaji wa mayai pindi kuku anapokuwa anaatamia. Pia kama kuku anataga mayai mengi kuliko yale anayoweza kuatamia ni mbinu gani unaweza kutumia ili kuhakikisha mayai hayo yanatotolewa?
Back
Top Bottom