Habari wakuu.
Natafuta kazi ama kibarua ujuzi wangu wa gari ndogo na pia ni operator wa mashine aina forklift elimu yangu kidato cha 4 na Umri wangu wa miaka 25.
Pia kama kuna kazi au kibarua tofauti na nilicho bobea niko tayari kufanya kazi yeyote ni mwaka wa pili sasa natafuta kazi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.