Recent content by Maulid Daniel

  1. M

    JamiiForums Tanzania DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Kulikoni huko tanganyika. Sie huku znz hali ni shwari kabisa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Mgomo ni huko huko tanganyikani huku kwetu znz hali ni shwari kabisa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    mchawi wa waislamu ni BAKWATA.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Wanaishia kusema mahakama italeta vita bila kueleza kwa undani how religious war itatokea kutokana kwa uwepo hii mahakama. Bado sijaona madhara ya hizi mahakama kwa nchi kama ya uganda ambayo inayo hii mahakama.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    ewe mkristo tambua ya kwamba mahakama ya kadhi itawahusu waislam na kuhusu gharama za uendeshaji ni zao wenyewe kama serikali ilivyosema. Kwanini mnapenda kuwanyima haki zao waislam. Hivi ni kweli mahakama ya kadhi italigawa taifa kwa lipi hasa hebu tuseme ukweli. Mimi naona endapo mahakama ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Kwa mwenye kujua wapi nitapata dawa ya kuongeza unene wa mwili naomba tuwasiliane.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais kwenda kuzindua kituo cha Azam TV siyo sahihi

    Hata ukitaka aje kwenye birthday party yako atakuja tu cha msingi fata utaratibu. Huyu ni rais wa watu wote hana iyana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Kwani tatizo liko wapi. Hatutaki kodi yenu. Tunataka mahakama itambulike na sheria za nchi yetu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    kwani sisi tumeomba kodi yenu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Utaelewa tu. Soma tena.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi moto UWAKITA wasema watazunguka nchi nzima kuikataa katiba mpya

    kumbe waoga eee. ndio muwe wapole muache kihele hele
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

    Nasema hivi bila kuingia kwenye civil war hatutoheshimiana kwa kuwa kila upande unajiona upo juu zaidi ya mwingine.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi moto UWAKITA wasema watazunguka nchi nzima kuikataa katiba mpya

    Linapokuja swala la mahakama ya kadhi ndio tunakumbuka kuwa nchi haina dini. Mbona kuna taasisi za makanisa zinapewa ruzuku kuendesha shughuli zao. Mimi nadhani hii nchi inatakiwa tupigane vita vya wenyewe kwa wenyewe ndio tutaheshimiana. Mifano ipo mingi ya nchi ambazo ilitokea civil war na...
Back
Top Bottom