Recent content by Maudodo

  1. M

    Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

    Habari za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba hakuna ugomvi wala mvutano wowote kati ya Kinana na Rais Magufuli. Na kwamba kinachofanyika hivi sasa ni kile kinachofananishwa na tabia ya fisi ya kuvizia mkono wa binadamu uchomoke ili apate kitoweo, jambo ambalo abadan halitakuja kutokea kamwe...
  2. M

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    TAHARUKI UKAWA, SUMAYE KUOKOA JAHAZI Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye mchana huu anatarajiwa kujiunga na Chama Cha NCCR-Mageuzi katika kile kinachoitwa "Mpango Mbadala" kutokana imani ya viongozi wa UKAWA kwamba lolote litatokea kwa Mgombea wa UKAWA kutokana na hali yake ya afya kuendelea...
  3. M

    UKAWA wavurugana kugombea majimbo

    Vyama vinavyounda umoja wa Katiba Ukawa vimeshindwa kukubaliana mgawanyo wa vyeo na badala yake kuamua kwenda Jangwani kwanza kwenye mkutano wa hadhara kisha ndiyo warejee kwenye meza ya mazungumzo. Kikao kilichohusisha Viongozi wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi kimeshindwa kufikia...
  4. M

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 24 June, 2014 - Hitimisho Mjadala wa Bajeti 2014-2015

    Katika hali isiyo ya kawaida mawaziri karibu wote walosimama leo kujibu hoja mbalimbali wamemzodoa Waziri aliyefukuzwa Edward Lowassa kuwa HAITOSHI KUSEMA TU KUWA AJIRA NI BOMU, aende mbali zaidi atoe majibu ya kutegua bomu hilo!
  5. M

    Nape: CHADEMA ndio waliomtuma Lissu kumtukana Mwl.Nyerere

    Unalaana wewe,hakuna aliyewahi kumkejeli Mwalimu Nyerere akaishia pazuri, sasa ni mwisho wa Chadema!
  6. M

    Nape: CHADEMA ndio waliomtuma Lissu kumtukana Mwl.Nyerere

    Nape kasema anao ushahidi wa kikao kilichofanyika mjini Dodoma cha baadhi ya viongozi wa Chadema kilichoazimia kuanza rasmi kampeni ya kumtukana na kumdhalilisha baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Nape anasema matusi na kujeli za hivi karibuni za Mh. Tundu Lissu kwenye bunge la katiba...
  7. M

    KINANA - Katiba mpya ni kwa watanzania, ubinafsi usiuaribu.

    Katibu Mkuu wa CCM abdulrahaman Kinana amewataka Viongozi aw vyama vya siasa nchini hasa Chadema kuondosha ukibaraka na ubinafsi na badala yake waache watanzania watoe maoni Yao kwa uhuru kwa Lengo la kupata katiba mpya itakayobeba matakwa Yao na si ya makundi macha he
  8. M

    CCM yafunika na kuimaliza CHADEMA Kahama

    CCM leo imefanya mkutano mkubwa wa Hadhara mjini Kahama na kutolea ufafanuzi Masuala mbalimbali ya msingi likiwemo Suala la mchakato wa Katiba mpya na Suala la vurugu za Bungeni zilizosababishwa na wabunge wa CHADEMA hivi karibuni. Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama...
  9. M

    CHADEMA ni vibaraka - Nape

    tsvangirai aw Tanzania wanaongojea kichapo 2014/2015. Hawana jinsi lazima wapewe Chinje Chiiiiii
  10. M

    Uhaini wa Mtwara ulipangwa

    Hiyo ni Michadema tuuu, ipo Siku, NASEMA ipo sikuuuuu.
  11. M

    Ukweli mchungu kuhusu KINANA

    mtaangaika sana lakini huwezi mfananisha Comrade Kinana na hao MaDJ
  12. M

    Nape kuunguruma Moro kesho,

    Kila mmoja ananafasi yake, wote wataunguruma, wakati Katibu Mkuu akipokea mwanachama mpya ambaye ni Mbunge wa Chadema, Nape atatema cheche Kwenye mambo ya utekelezaji aw Ilani ya uchaguzi
  13. M

    CCM kuhitimisha ziara yake mkoani Morogoro kwa Mkutano mkubwa Aprili 21, 2013

    CCM kesho itawasha moto katika mkutano wake wa kuhitimisha ziara ya Sekretarieti mkoani humo ambapo katika muda wa wiki moja wametembelea kila kona ya mkoa huo na kufanya shughuli za kuboresha na kuimarisha uhai wa CCM katika ngazi za Chini yaani Mashina, Matawi, na Kata.
  14. M

    Mkutano wa CCM Moro Live TBC kesho mchana

    TBC TV na Radio kesho zitarusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa hadhara wa CCM utakaofanyika katika viwanja vya shule ya msingi uwanja wa Ndege mjini Morogoro.
  15. M

    Nape kuunguruma Moro kesho,

    Nape kesho anatarajiwa kuelezea namna Chadema wanavyopokea fedha za kifedhuli kutoka kwa wakoloni. Ni katika mkutano wa hadhara Morogoro kesho Jumapili.
Back
Top Bottom