Recent content by Mauchafu Nyonyanyonya

  1. Mauchafu Nyonyanyonya

    JamiiForums Tanzania TIB Corporate Bank Limited na Mwananchi Communications Limited mnazingua.

    blaza elewa kwanza uzi..soma kitu vizuri kwa ufasaha..usisome kitu juu juu..WOTE HAO WAMETANGAZA NAFASI ZA KAZI..
  2. Mauchafu Nyonyanyonya

    JamiiForums Tanzania TIB Corporate Bank Limited na Mwananchi Communications Limited mnazingua.

    Yap..unajua kwa email ni chap kwa haraka..ila ukituma kwenye email yao haifiki mkuu..mpaka tutumie posta labda..
  3. Mauchafu Nyonyanyonya

    JamiiForums Tanzania TIB Corporate Bank Limited na Mwananchi Communications Limited mnazingua.

    Habari wana jamvi..hawa jamaa wametangaza nafasi za kazi karibuni..ukituma maombi online inakataa.. ushauri wangu kwenu kama watu wenu wa IT wababaishaji endeleeni na utaratibu tu wa siku zote wa kutuma maombi kawaida (Yani muweke option moja) twende zetu kwenye shirika la posta tukatume maombi..
Back
Top Bottom