Singano pole na majukumu,nakubali sana kazi zako,hii simulizi Kuna kipindi ilikuwa nikiikosa nakosa amani kabisa,nafikiri Mimi ni mmojawapo wa mwanzo kununua,lakini kwangu naona inaanza kukosa ule mvuto wa mwanzo,hata nikiikosa mwezi naona kawaida tu,nafikiri steringi roma anapoteza mvuto,ngono...