Recent content by matungwabengesi

  1. matungwabengesi

    Changamkieni nafasi za kazi LAPF

    Nafasi zimetoka jana gazeti la mwananchi
  2. matungwabengesi

    Kuitwa Interview NMB

    Email imetumwa leo saa 4 asbuhi
  3. matungwabengesi

    Kuitwa Interview NMB

    Na tulishafanya interview
  4. matungwabengesi

    Kuitwa Interview NMB

    Lake zone mkuu
  5. matungwabengesi

    Kuitwa Interview NMB

    Wadau NMB wamenitumia hii email sijajua ni kanda ipi. Mwenye taarifa zaidi
  6. matungwabengesi

    NMB INTERVIEW

    Poa poa mkuu
  7. matungwabengesi

    NMB INTERVIEW

    Kwa mujibu wa alienipigia simu alinambia ni lakezone mkuu..
  8. matungwabengesi

    NMB northern zone wamejibu

    Nimepigiwa sim pia j3
  9. matungwabengesi

    NMB INTERVIEW

    Wadau NMB wamenipigia simu jana mchana kwaajili ya interview ya Bank teller lake zone...Mwenye uzoef naomba hints kidogoo zinavyokuwa interview zao..Asanteni na Mungu awabariki.
  10. matungwabengesi

    Mwenye taarifa Interview NMB!

    Haina shida mkuu tupo pamoja
  11. matungwabengesi

    Mwenye taarifa Interview NMB!

    Habari za asuhuhi, napenda yeyote mwenye taarifa kuhusu majibu ya usaili wa NMB uliofanyika tar5/8/2016 Dar es salaam headoffice nafasi ya bank teller
Back
Top Bottom