US kuhusu Israel kushambulia Lebanon anasema makubaliano ya kusimamisha vita hayahusishi Lebanoni. Na Iran nao wanasema makubaliano hayo hayahusishi Israel
Waziri wa vita US Pete Hegseth
Iran wachague moja kukabidhi Enriched Uranium waliyonayo au tutakuja kuichukua.
Maneno hayahaya yamesema na Netanyahu. Iran wachague kukabidhi Uranium yao kwa makubaliano au kwa vita kuendelea
Wanasema wenyewe wanaopigana. Sasa mimi nitawabishia mkuu. Na wanadai sio ndege mbili bali 12 ziliangushwa pale kwenye uwanja wa pambano.
Ukweli wanaujua wenyewe Marekani na Iran. Sisi tunasema wanayotasema.
Mbona unapanic kwenye vitu vidogo sana bro. Immotional intelligence yako unaianika wazi kwenye vitu vya kawaida.
Ndio maana huu uzi unakoswa mvuto.
Hayo ninayosema inawezekana ni kuacha room ya kujadili tu ila ndivyo wanavyojadili watu duniani kuhusu ile misheni.
Wapo wanaosema ilikuwa...
Inategemea na lengo la wakati huo. Iran huwezi kuvamia kama Iraq jiografia inakataa. Huko angalau waliona kuna shamba linakama runway angalau wanapata pa kuanzia. Covert operation kama ya kuchukua hiyo 440 Enriched Uranium iliyokomafichoni haihitaji Humvies wala maroli ya kijeshi.
Upate sehemu...
Inasemekana lile lilikuwa sio jaribio la kumuokoa Rubani bali ni jaribio la kwanza la ground invention lililofeli na jamaa wakawakimbia wanavijiji waliokuwa wanatumia magobole.
Ndio maana made get makubwa mawili yaliyolipuliwa ni vigumu kuamini yote hayo yaende kumuokoa mtu mmoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.