Recent content by Matrida oscar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Je kwa yule aliyetoka VETA na akawa na level 3 anataka kuingia LEVEL4 hapo wanaangalia pia cheti cha form four Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Habar:Naomba kusaidiwa Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne2016 na kupata division four point 30 ambayo ni English D,biology C,Civics D,kiswahili D,physics F,MathematicsF geography F,HistoryF,Chemistry F,baada ya hapo mwaka 2017 nkaenda VETA nakuchukua cozi ya umeme ambayo nimehitimu...
Back
Top Bottom