Ndipo
watakapotwambia mama anaupiga mwingi,
Wacha Bara Bara hata Maji kwenye baadhi ya maeneo kama Buhongwa, Nyashishi machinjioni ni shida, yanatoka mara 2 Kwa week
Barabara ya Mwanza Mjini mpaka Nyegezi imekuwa ni kero kwa muda mrefu kiukweli kwa wakazi wa Mwanza na wengine wanaopita kuitumia.
Hii barabara ni mbovu inasababisha foleni hasa maeneo ya Mkuyuni, hili limechangiwa sana na Mkandarasi JASCO ambae tangu Januari 2025 alimwaga kifusi kwa ajili ya...
Mpaka pale tutakapokubali kubadirika na kuzitafuta haki zetu Kwa watawala Kwa nguvu
Lkn tukibaki kuwa watu wa kulalama mitandaoni, huku watawala wakipasiana madaraka na Watoto wao, ndugu, na washikaji zao. Sisi tunaendelea kuteseka na kuwaimbia mapambio basi hatutofika.
Tunatakiwa kuzipambania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.