Please Mwanakijiji
Create another petition against the Government to establish an independent inquiry against this tragedy of our beloved Sister AC..... Full Support
Naona sasa EN naye ajiuzulu umwenyekiti wa UCCM maana kila kijana akijitokeza kugombea nafasi kwenye hiyo jumuiya ni MAREHEMU au KICHAAAAAA... Nani wa kumwambia ATOKE???? Tumechoka sasa na huyu PhD Feki... JK kweli analiona hili au ndo mzee wake wa kamati ya ufundi????
Jamani ndo maisha haya... lakini ametutoka wakati familia na jamii nzima ikimtegea sana.
Bwaa alitoa na Bwana ametwaa jina lake litukuzwe
Amlaze pema peponi
mhhhh.... hili suala la degree feki ni global issue na MU is just a mere instance of that issue. Nadhani hili suala litazamwe kitaifa na wala si kuliharalisha kwenye siasa, kampeni..... ohhh bra bra...... Kenge ni kenge tu huwezi kumbadilisha Ngozi kumwita Mjusi ili aikidhi hadhi yako.. Sidhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.