Recent content by Matare

  1. M

    Tuliokosa Mkopo, UDOM CoED

    Am the one! Mpaka mda huu sijui ni lini ntapata ada! Vipi mmeenda kuuliza utaratibu kwa loan officer? Bado niko nje ya chuo natafuta ada kwa tochi!
  2. M

    Continuing ilibidi tuapply vipi?

    Ndugu zangu tunaoendelea na tukaomba mikopo, naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Mimi binafsi niliapply moja kwa moja bodi kwa kuambatanisha fomu ya udahili na viambatanishi vyote vya kunitambulisha kuwa ni mwanachuo ninaeendelea. Sasa hapa kuna wale waliopitia chuoni na sisi tulioomba direct. Je...
  3. M

    Direct costs ni sh.ngap?

    Ingia web ya chuo weka sirname na f4 index no udownload fom
  4. M

    Mkopo kwa continuous students

    Mie pia nipo second year BED, UDOM. Mwaka jana sikuomba ila mwaka huu nimeomba na mpaka sasa naona empty!! kusoma bila mkopo ni zaidi ya mateso aiseee. Kama kuna continous aliyapata mkopo atupe moyo basi!!!!!
  5. M

    Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    Prof Idrisa Kikula yupo Udom nowdays
  6. M

    Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

    Kama tulivyokuwa tukifuatilia majibu ya transfer kabla hayajatoka pia yatupasa kufuatilia namna ya kuingia vyuo tulivyopangiwa na tcu baada ya transfer. Hivyo kwa wale wa Dar tujitahidi kwenda TCU physically, huenda wakawa na majibu ya moja kwa moja.
Back
Top Bottom