Kwa mtazamo wangu,elimu ya Tanzania sio elimu ya kujiajili mbali kuajiliwa hivyo basi hatuwezi kushindana na nchi mbali mbali katika nyanja ya maendeleo hususani katika sayansi na tekinolojia.Vijana wengi wakisha hitimu vyuo hushindwa kujiajili kwa sababu elimu waliyopata haiendani na matarajio...
il faut penser car vous donnez vos opinions,trois langue français,anglais et arabe sont important dans notre pays.kujua lugha tofauti kuna ladha yake,namtafuta mtu anayejua kiarabu,aeleze kiunagaubaga kinaurahisi na ugumu gani ktk kujifunza
CWT inamanufaa unapopata tatizo,kama huna tatizo haina manufaa.Mkurungezi wa CWT akiwa DUCE Kwa ajili ya ufunguzi wa tawi la UDSTA,amedai kuwa CWT imesaidia waalimu wengi sana ktk kesi zilizokuwa zikiwakabili,pia imewasaidia waalimu wanawake hususani wanapopata ujauzito,imesaidia kudai nyongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.