Recent content by matanda musa

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani eee!, mbona mizinguo kwa wahusika(viongozi) wakati nimeshapata wa kubadilishana nae?, au taratibu zikoje maana nashindwa kuelewa! Naomba kujuzwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hamtaki kuja SHINYANGA mlioko NJOMBE?
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wale mnaotaka kutoka NJOMBE wilaya yoyote kusogea mikoa ya kanda ya ziwa, nipo SHINYANGA VIJIJINI, tubadilishane, shule ipo karibu na senta kubwa ambayo ina mahitaji yote. Idara ya MSINGI. Karibuni nyote tuwasiliane kwa no; 0764205502 au 0788087771.
  4. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mkuu hebu nieleweshe hapa, barua ya ajira inaandikwa na nani?, vitambulisho kwa walimu wapya vitapatikana lini?, slp ya mshahara nayo itatoka mshahara wa kwanza au?, na barua hizo mbili moja yako na ya unayebadilishana nae au mbili kivipi?. MSAADA kwani nimeshapata wa kubadilishana nae nataka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mkuu hebu nieleweshe hapa, barua ya ajira inaandikwa na nani?, vitambulisho kwa walimu wapya vitapatikana lini?, slp ya mshahara nayo itatoka mshahara wa kwanza au?, na barua hizo mbili moja yako na ya unayebadilishana nae au mbili kivipi?. MSAADA.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Nipo shinyanga vijijin kutoka shule ilipo kwenda mwanza town ni 4000 na shy town ni 4000, kahama 7000, natafuta mwl. wa kubadilishana kutoka NJOMBE wilaya yoyote idara ni ya MSINGI. SIMU NO; 0764205502 au 0788087771.
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wale wa mikoa ya MWANZA,SHINYANGA, KAGERA na KIGOMA walioko mkoa wa NJOMBE wilaya yoyote ili kuepuka gharama za nauli na kukaa mbali na nyumbani, sogea hapa shinyanga vijijin kutoka shule ilipo nauli kwenda mwanza town ni 4000, shy town 4000 na kahama town 7000. Shule ipo karibu na senta kubwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara gan wewe!? kuna mwalimu anataka kwenda njombe yy yupo shy vijiji nauli kwenda kahama ni 7000, mwanza 4000 na shy town 4000 idara ni ya msingi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nenda shinyanga vijijni shule ipo karbu na senta ya mhangu ambayo ina kila kitu. Nauli kufika mwanza town ni 4000 na shy town 4000 nije ludewa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wanaotaka kwenda shinyanga, shinyanga vijijini kutoka njombe wilaya yoyote idara ya msingi, nataka kwenda NJOMBE, nitafute kwa no.0764205502 au 0788087771.
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nenda shinyanga vijijini.nije iringa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Idara gani wewe na unatokea mkoa gani? Nipe jibu nikujuze mimi si mwalimu ila nafanyakaz mkoani njombe(mjini), hivyo wilaya zake zote nilshazitembelea kikaz sehemu zote mijini na vijijin. Pia mke wangu amepangiwa shy vjjn idara ya msingi,aliyepangiwa njombe na yuko tayari kwenda shy vjjn
  13. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi nina mke wangu mwalimu idara ya msingi kapangiwa wilaya ya shinyanga vijijini hajaripoti bado (ajira mpya 2014), naishi nae njombe mjini!, anaomba kwa yeyote aliyepangiwa mkoa wa njombe wilaya yoyote kama atakuwa tayari kwenda shinyanga, naomba tuwasiliane kupitia 0764205502 au 0788087771
  14. M

    JamiiForums Tanzania Csee 2013 examination results ranking & division

    Mimi nimebaki kimya maana wanatuona sisi wajinga wakati walishatuelimisha tukaelimika,tunakoelekea hadi wataweka G na H.
Back
Top Bottom