Recent content by Masurura yetu

  1. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Sijapewa mkuu.jamaa mwanzo walikua wanataka 4m vinginevyo wanataifisha mzigo.ndio tukashushana hadi 1.5.
  2. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Ndugu,ukisoma maelezo yangu,mimi nimelipia full price nikiwa nahitaji documents zangu zote ili kuepusha usumbufu, kungekua na maelewano mengine wala hata nisingejisumbua kuleta huu uzi humu jf.na mbaya zaidi huyo Sylvester Katambi sijui ndio meneja wao ana mdomo mchafu balaa,hana customer care...
  3. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Huyu jamaa ndio huyo mwenye majibu machafu,naona hata WhatsApp kaweka picha hiyo hiyo.
  4. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Basi hakuna professionalism hapo.maana watu kariakoo wanasema ndiyo michezo yao hiyo hao jamaa.
  5. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Huwa nanunua kwa jamaa wa auto express, mimi nawawekea tu pesa Bank, wao wenyewe wanapeleka mzigo kwa transporter na risiti pamoja na invoice zinakuwa sealed kwenye bahasha.mzigo unafika salama kabisa.
  6. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Hapana,nisingekua na akili mbovu kiasi hicho,mzigo unasafirishwa hadi mwanza usiwe na risiti.
  7. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Waliniambia risiti mpaka pesa ipelekwe Bank ionekane ndio wanaprocess order,na kwa sababu nilikua na haraka na vile jamaa zangu wengine wanafanya nao biashara sikuwa na wasiwasi wowote.
  8. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Mteremko gani sasa hapo? Au kuwafuata ofisini kwao ndio nimefanya kosa?
  9. M

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Mimi ni mjasirilismali,nina duka la matairi ya magari huku Mwanza. Nilielekezwa kwenye hiyo kampuni tajwa hapo juu kuwa wanauza matairi ya jumla,basi nikafunga safari mpaka dar nikawatafuta mpaka ofisini kwao,ofisi zao ziko mikocheni sehemu inaitwa njia panda ya mawaziri. Nilivyofika...
Back
Top Bottom