Recent content by Masterminder

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la shoti kwenye vitanda vya Aluminium

    Kwamba nikaongeze megawatt 😀😀😀
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la shoti kwenye vitanda vya Aluminium

    Nafikiri jamaa hapo juu ametupa jibu zuri sana. Leo mimi nimebadili aina ya blanketi mwanzoni nilipopanda ilipiga muda mfupi baada ya kutoa blanketi ila usiku haikuwepo kabisa na hata nikiwa na shuka chini nikikanyaga sakafu haipo. Kwa hiyo tatizo ni aina ya sheet na blanketi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la shoti kwenye vitanda vya Aluminium

    Nitafanyia kazi ushauri wako huo mkuu. Lakini pia aina ya sheet au cover ya godoro haiwezi kuwa tatizo? Maana huwa kwenye shuka la kawaida ipo tatizo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la shoti kwenye vitanda vya Aluminium

    Nyumba ambayo haina umeme sijajaribu mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la shoti kwenye vitanda vya Aluminium

    Ndugu zangu nimekuwa nikipigwa na shoti kwenye kitanda cha chuma wakati napanda au wakati ninaposhuka chini nikigusa chini kunakuwa na shoti. Tatizo hili linasababishwa na nini na jinsi gani nitatue? Msaada naomba wakuu.
Back
Top Bottom