mbona HR alisema mwakani (mwaka huu July, 2024) nitaongezewa nyongeza mbili za mshahara kwa kuwa na masters, mim nataka kujua hizo nyongeza mbili ndo itafanya mshahara uwe sh ngap? pia akasema nikisubmit cheti cha PE baada ya miaka miwili kwenye utumishi nitakuwa Engineer I, ndo nataka kujua...
Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua.
Kama umeajiriwa kama engineer (bachelor degree) kwa scale ya PGSS 7.1 ambayo ni Tshs 1,375,000/=
Mfano ukiwa na masters, ukaipeleka kwa HR, mshahara utaongezeka sh ngap?
Kwa wale wa ERB, ukipewa status ya professional engineer, PEng (T).. mshahara unaongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.